r

ASANTE KWA KUNIAMINI

Jumatatu, 10 Agosti 2015

Wanawake Iringa Wampongeza waonesha Imani na Rose Tweve kuwawakilisha Bungeni 2015-2020



Ni makundi mbalimbali ya wanawake mkoani Iringa ambayo yamekutana na vyombo vya habari kuzungumzia imani waliyonayo kwa Mbunge wao atakaye wawakilisha katika Bunge lijalo mara baada ya kuteuliwa na wanawake mkoa hivi karibuni.


Wanawake hao walisema wanatambua kuwa Rose anaweza kuwawakilisha vyema kutokana na kuwa yeye bado ni kijana na namna ambavyo anavyojishughulisha na shughuli za kijamii na mipango aliyonayo kwa wanawake wa mkoa wa iringa.

Hivyo wamesema wanamtikia kila laheri katika kupigania hiki na maslahi ya wanawake kwa maendeleo yao kwa ujumla.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni