nikipokea zawadi
ya kikapu kutoka kwa akina mama hao wa Maduma nilipokwenda kuwatembelea na
kuangalia namna wanavyojishughulisha katika biashara zao za
ujasiriamali. .
kama mbunge wa viti maalum CCM mkoa wa Iringa, nilipata fursa ya kutembelea kikundi cha akina mama wa kata ya Maduma Wilaya ya Mufindi
na kuwapongeza kwa juhudi zao wanazozifanya katika shughuli za
ujasiriamali.
NIKIONGOZANA NA MH. JULIANA SHONZA (MB) WA VITI MAALUMU WA MKOA WA SONGWE WAKATI WA KUHUDHURIA VIKAO VYA MBUNGE MJINI DODOMA.