r

ASANTE KWA KUNIAMINI

Jumamosi, 21 Januari 2017

ziarani Mbeya na mpakani mwa Nchi ya malawi


Hivi karibuni tulitembelea mkoa wa Mbeya katika ziara ya kamati ya Bunge ya mambo ya nje, ulinzi na usalama na waziri wa ulinzi Hussein Mwinyi. pia tulitembelea gereza la songwe pamoja na kuangalia mpaka kati ya Malawi na Tanzania.

mbunge wa viti maalumu mkoa wa Songwe (ccm) Juliana Shoza,  akisalianma na moja ya viongozi wa jeshi la magereza la mbeya (Luanda)




                                   (Nikisalimiana na let. Gen. vs. Mabeyo wakati wa ziara hiyo)












Hakuna maoni:

Chapisha Maoni