Mbunge wa Viti Maalum, Rose Tweve (CCM) akiuliza swali kwa Waziri wa Nnchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Tamisemi), bungeni Dodoma , kwamba ni fedha kiasi gani kimetengwa kwa ajili ya maendeleo ya vijana na wanawake mkoani Iringa. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Mbunge wa Jimbo la Mtera, Livingstone Lusinde (kushoto), akizungumza
na Mbunge wa Viti Maalum, Rose Tweve (katikati) pamoja na Mbunge wa
Viti Maalum, Kiteto Koshuma kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma.Taswira mbalimbali za Rose Tweve, Mbunge wa Viti Maalum kutoka Mkoa wa Iringa
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni